.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa
Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali zake unaofanyika Lisbon nchini Uren leo tarehe 27 Juni 2022.Lengo
la Mkutano huo ni kuhamasisha juhudi za Mataifa katika kufanikisha utekelezaji
wa Lengo la 14 la Maendeleo Endelevu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa mbalimbali duniani wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali zake unaofanyika Lisbon nchini Ureno leo tarehe 27 Juni 2022.
No comments:
Post a Comment