Na.Mwandishi Wetu.
Jina langu ni Fetty nimeishi maisha ya ndoa kwa miaka 12 sasa na mume wangu, Mudy katika miaka mitano ya mwanzo katika ndoa yetu hatukujaliwa kupata mtoto jambo lilonipa wakati mgumu.
Nakumbuka kila wakati nilikuwa namwambia mume wangu na
watu wa karibu kwamba ningefurahi iwapo siku moja nitajaliwa kupata watoto
mapacha. Wengi walinieleza kuwa ni vigumu ikiwa kwenye familia yenu hakuna mtu
aliyewahi kujaliwa mapacha lakini nikajipa moyo ipo siku nitapata tu.
Miaka miwili ya ndoa tulienda Hospitali mbalimbali na
mume wangu kutaka usaidizi ili kuweza kupata mtoto kwani tuliona muda unazidi
kwenda na ndugu wameanza maneno. Tulipatiwa ushauri na baadhi ya dawa na kuanza
kutumia kama ambavyo Daktari alishauri, lakini bado sikuweza kupata ujauzito.
Siku moja nilisafiri toka nyumbani kwetu Tanga kwenda
kwa shangazi yangu ambaye ameolewa Mombasa nchini Kenya, nilikaa huku kwa muda
wa wiki mbili na nusu kabla ya kurejea nyumbani.
Katika stori zetu za hapa na pale nilimueleza shangazi
kuwa nimekuwa nikihangaika kupata mtoto kwa muda mrefu ambao ni miaka mitano,
akaniambia mbona sikumueleza mapema jambo hilo, nikamjibu sikupenda kutoa mambo
yangu ya ndani kuhusu ndoa kwa wepesi sana.
Basi alimuita mtoto wake mdogo akamuagiza ndani
akamletee notebook yake, akaifungua akatoa namba hii +254 769404965, akaniambia ebu piga hiyo namba ni ya Dr. Kiwanga. Basi nikapiga pale pale na
kweli akapokea, nikamueleza shida yangu, akanielekeza ofisi kwake mjini
Kericho.
Siku iliyofuata mimi na shangazi yangu tukasafiri hadi
Kericho, tukapokelewa vizuri hadi mwenyewe nikajihisi kupata suluhisho la
changamoto yangu. Dr. Kiwanga anganifanyiaa ganga nganga zake pamoja na
kunipatia dawa na kuniambia nisiwe na wasiwasi na muda wowote nikihitaji msaada
nimpigie.
Tulirejea nyumbani na shangazi kisha mimi nikafungasha
vilivyo vyangu nikarudi kwa mume wangu, alinipokea kwa bashasha maana alikuwa
amenimisi sana kipenzi chake. Usiku nikampatia chakula chake muhimu cha usiku
kama kawaida yetu bila kumwambia nilienda kwa Dr. Kiwanga.
Kupita wiki tatu hivi niliamka asubuhi na kuanza
kutapika, alinipeleka hospitali na baada ya vipimo akaambiwa mkewe ni mjamzito,
mwenyewe hakuamini machoni mwake. Tuliporejea nyumbani ndipo nikamwambia shangazi alinipeleka kwa
Dr. Kiwanga na akashukuru sana.
Baada ya miezi tisa nilijifungua mtoto wa kike,
nilifurahi sana na ndugu zangu na zake pia walifurahi kwa pamoja, kikubwa zaidi
miaka miwili mbele nikajifungua watoto mapacha wa kike na kiume, na hapo ndipo
namshukuru sana Dr. Kiwanga.
Kumbuka Dr. Kiwanga ana uwezo kumfanya mtu kuwa na
bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na
maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa
kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.
Pia anatibu magonjwa kama Kaswende, Kisonono, Kifua
Kikuu, Presha na mengine mengi, kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea
tovuti yake; www.kiwangadoctors.com
au piga simu +254 769404965.
Mwisho.
No comments:
Post a Comment