Habari za Punde

Shaka Aendelea na Ziara Yake na Kutembelea Shule ya Sekondari Chidya Wilayanu Masasi.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, akimsikikiza mwanafunzi mwenye mahitaji maalumu wa kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari Chidya, Said Mwanyaba akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, akiwasalimia wanafunzi wenye mahitaji maalumu wanaosoma katika Shule ya Sekondari Chidya, aliposimama kusalimia wanafunzi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, akiwasalimia wanafunzi wakiwemo wenye mahitaji maalumu wanaosoma katika Shule ya Sekondari Chidya, aliposimama kusalimia wanafunzi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.
(Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.