Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutoka Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Picha na Ikulu. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.