Habari za Punde

Umuhimu wa kusoma Masomo ya Sayansi na kujiunga na Taasisi ya Karume Zanzibar.

Wawakilishi kutoka Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), wamefika Skuli ya Sekondari ya Sheikh Idrissa Abdul-wakil Pemba, Skuli ya Kiislamu Pemba  na Skuli ya Dkt Amani Abeid Amani Pemba  kwa lengo la kuwahamasisha Wanafunzi wa Skuli hizo, kusoma Masomo ya Sayansi, na kujiunga na Taasisi ya Karume pindi watakapomaliza, Uhamasishaji huo umefanyika Wilaya ya Micheweni na Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Vitongoji Pemba, Skuli ya SekondarI Uweleni Pemba na Skuli ya Kangani Pemba, wakiwasikiliza Wahamasishaji kutoka Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), kuhusu Umuhimu wa kusoma Masomo ya Sayansi na kujiunga na Taasisi ya Karume, watakapomaliza masomo yao, Uhamasishaji huo umefanyika katika Wilaya ya Mkoani  na Wilaya ya Chake Chake , Mkoa wa kusini Pemba.
Wawakilishi kutoka Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), wamefika Skuli ya Sekondari ya Sheikh Idrissa Abdul-wakil Pemba, Skuli ya Kiislamu Pemba  na Skuli ya Dkt Amani Abeid Amani Pemba  kwa lengo la kuwahamasisha Wanafunzi wa Skuli hizo, kusoma Masomo ya Sayansi, na kujiunga na Taasisi ya Karume pindi watakapomaliza, Uhamasishaji huo umefanyika Wilaya ya Micheweni na Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Wanafunzi wa Mwaka wa kwanza wanaosoma Stashahada ya Civil Engineering pamoja na Wanafunzi wanaosoma Fani ya Mechanical Engineering Mwaka wa pili, wakifanya Mitihani ya Vitendo wa Manufacturing na Concrete Technology katika Taasisi hiyo Bweni Mjini Zanzibar.

                                           Picha Na Issa Mzee  –  KIST. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.