Habari za Punde

MKUTANO WA UHAMASISHAJI UTAFUTAJI WA RASLIMALI FEDHA WAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Mnazi mmoja Dk,Marijani Msafiri akitoa hotuba na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Uhamasishaji utafutaji raslimali fedha kwa ajili ya kuchangia mkakati wa Mnyororo wa Ugavi wa Dawa na Vifaa tiba 2022-2025,Uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya Hassan Hafidh akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa Uhamasishaji utafutaji raslimali fedha kwa ajili ya kuchangia mkakati wa Mnyororo wa Ugavi wa Dawa na Vifaa tiba 2022-2025,Uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Mkuu wa Ofisi ya Mfamasia Mkuu Wizara ya Afya Hosiana Eliakimusaria akitoa mada katika Mkutano wa Uhamasishaji utafutaji raslimali fedha kwa ajili ya kuchangia mkakati wa Mnyororo wa Ugavi wa Dawa na Vifaa tiba 2022-2025,Uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya Hassan Hafidh akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Mnazi mmoja Dk,Marijani Msafiri katika hafla ya Uhamasishaji utafutaji raslimali fedha kwa ajili ya kuchangia mkakati wa Mnyororo wa Ugavi wa Dawa na Vifaa tiba 2022-2025,Uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Baadhi ya Wadau wa Afya waliohudhuria katika Mkutano wa Uhamasishaji utafutaji raslimali fedha kwa ajili ya kuchangia mkakati wa Mnyororo wa Ugavi wa Dawa na Vifaa tiba 2022-2025,Uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

 Naibu Waziri wa Afya Hassan Hafidh(katikati)akiwa katika Picha ya Pamoja na  Wakuu na Wadau wa Afya katika Mkutano wa Uhamasishaji utafutaji raslimali fedha kwa ajili ya kuchangia mkakati wa Mnyororo wa Ugavi wa Dawa na Vifaa tiba 2022-2025,Uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.