Habari za Punde

MAJALIWA AFUNGUA KOZI FUPI YA 13 YA VIONGOZI, CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TANZANIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kozi Fupi ya Kumi na Tatu ya Viongozi kwenye ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania,  mkoani Dar es Salaam
Baadhi ya washiriki wa   Kozi Fupi ya Kumi na Tatu ya Viongozi  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   wakati alipofungua kozi hiyo  kwenye ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania,  mkoani Dar es Salaam
Baadhi ya washiriki wa   Kozi Fupi ya Kumi na Tatu ya Viongozi  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   wakati alipofungua kozi hiyo  kwenye ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania,  mkoani Dar es Salaam
Baadhi ya washiriki wa   Kozi Fupi ya Kumi na Tatu ya Viongozi  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   wakati alipofungua kozi hiyo  kwenye ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania,  mkoani Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri wanaoshirki katika Kozi Fupi ya Kumi na Tatu ya Viongozi baada ya kufungua kozi hiyo kwenye ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania mkoani Dar es Salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri wanaoshiriki katika Kozi Fupi ya Kumi na Tatu ya Viongozi baada ya kufungua kozi hiyo kwenye ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania mkoani Dar es Salaam

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax (wa pili kulia) na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Meja General Ibrahim Mhona (kushoto) baada ya kufungua   Kozi Fupi ya Kumi na Tatu ya Viongozi  kwenye ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania mkoani Dar es Salaam, Agosti 2, 2022. Wa pili kushoto ni Kansela wa Chuo cha Ulinzi Tanzania, Balozi Matern Lumbanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.