Habari za Punde

Mkutano wa Kuwasilisha Ripoti ya Utekelezaji Udhalilishaji kwa Kipindi cha Miezi Mitatu.
KATIBU wa Kamati ya kupinga ukatili na udhalilish

KATIBU wa Kamati ya kupinga ukatili na udhalilishaji wa kijinsia kwa Wanawake na Watoto ya Wilaya ya Chakechake Pemba Ndg.Kassim Ali Omar akiwasilisha ripoti ya utekelezaji kwa kipindi cha mwezi wa April hadi Juni mwaka 2022. Mkutano huo umefanyika August 18. 2022 katika ukumbi wa Kiwanda cha mafuta ya Makonyo Wawi Chakechake Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.