RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Kidemokrasia Jamhuri ya Ethiopia Nchini Tanzania Mhe. Shibru Mamo Kedida, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-8-2022.(Picha na Ikulu)
JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA (TEF) YATOA TUZO KWA WAZIRI NAPE,DKT NDUMBARO.
-
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye
(Mb) akipokea tuzo ya kutambua mchango wake wa kuendelea kujitolea
kuboresha ma...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment