Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Mheshimiwa
Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es salaam wakati akielekea Jamhuri
ya Kidemokraisa ya Kongo kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa
Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Tarehe 16
Agosti 2022.
No comments:
Post a Comment