Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.HusseinAli Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Mamlaka ya Bima Nchini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania Dk.Baghayo Saqware (wa pili kuli) wakati wa mazungumzo na  ujumbe  aliofuatana nao leo  wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe  ulioongozwa na  Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania Dk.Baghayo Saqware (wa tano kushoto) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea kitabu cha muongozo wa mamlaka ya usimamizi wa Bima Tanzania kutoka kwa  Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania Dk.Baghayo Saqware, wakati wa mazungumzo na ujumbe  uliouongoza  wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya Mazungumzo.[Picha na Ikulu] 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.