Habari za Punde

CCM yafanya uteuzi wa wagombea Uenyekiti Wilaya

 


Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) imekutana chini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa White House Makao Makuu, Jijini Dodoma Jumanne tarehe 27 Septemba, 2022.

Pamoja na mambo mengine Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imefanya uteuzi wa majina ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa CCM wilaya kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2022 ibara ya 82(1) ambapo mikutano mikuu ya wilaya itafanyika kote nchini kuanzia tarehe   01 -02 Oktoba, 2022.                

Aidha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) imeongeza muda wa kuchukua na kurejesha fomu kwa nafasi zote za Halmashauri Kuu ya Taifa ambapo zoezi hilo la kuchukua na kurejesha fomu litaanza tarehe 1-5 Oktoba, 2022 kwenye Ofisi za mikoa, Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Dar es Salaam na Makao Makuu ya CCM Dodoma.


Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Itikadi na Uenezi
27 Septemba, 2022

 

ORODHA YA MAJINA YA WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KUGOMBEA NAFASI ZA UENYEKITI WA CCM WILAYA

(a)  TANZANIA BARA

1.     MKOA WA ARUSHA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA

1

KARATU

Lucian Akonaay KWASLEMA

Victoria Joseph MTENGA

Mustapha Kassim MBWAMBO

Sebastiana T. MASSAY

2.

MERU

Ndewirwa Soori MBISE

Ephata Nnini NNKOH

Joshua Hungura MBWANA

Nathaniel Daniel KAAYA

Sara Martini MBISE

3.

ARUMERU

Simon Ngoidimayye SANING’O

Noel Emmanuel SEVERE

Eng. David Saiguran LEMILIA

Esupat Elias NAIKARA

4.

LONGIDO

Papa Nakuta MOLLEL

Joel Miagie MAUMBA

Joseph K. SADIRA

5.

MONDULI

Wilson Lengima KURAMBE

Edward Sapunyu KONE

Sakaya Kabuti ALASHERI

6.

NGORONGORO

Raphael Rise LON’GOI

Flora Olodi LAIZER

Abihudi Msemedi SAIDEYA

Lucas Oltusi OLEMASIAYA

7

ARUSHA

Wilfredy Ole Soillel MOLLEL

Elirehema Amos NNKO

Ally Juma MWINYIMVUA

Saipulani Abibakar RAMSSEY

 

 

 

 

 

 

 

2.     DAR ES SALAAM

1

ILALA

Said Sultan SIDDE

Assaa Simba HAROUN

Salima Hamisi HILARY

2

KINONDONI

Kassim Shabani KAVITENDA

Shaweji Abdallah MKUMBURA

Pilly Athumani CHANDE

3

KIGAMBONI

Sikunjema Yahya SHABANI

Mponela Selemani MATHEI

Maimuna Mwinyipingu YUSUFU

4

UBUNGO

Lucas Michael MGONJA

Theresia Sarwat CHIHOTA

William MASANJA

Rogati Elias MBOWE

5

TEMEKE

Zena Yussuf MGAYA

Benard Mathew MWAKYEMBE

Evarist Ernest BARAGOMWA

Mariam John KAMBI

 

3.     MKOA WA DODOMA

 

1

CHEMBA

Shabani Issa KILALO

Dr. Rogath Akiel MHINDI

Joseph Peter SAIN

2

BAHI

Stewart Ernest MASIMA

Ramadhani Juma MTAWA

Lawrence Uzzuca LWANJI

3

KONDOA

Abdallah Hussein MDEKE

Hija Bakari SURU

Kimolo Idd DARABU

4

MPWAPWA

Kepha Mapongo ISACK

Mark Salehe MGAZA

Donati Sasine NGHWAHENZI

5

KONGWA

Mussa Abdi MATARI

Winna Aizi KILONGE

Alfa Beda MWEGALWAWA

6

CHAMWINO

George Mathayo MALIMA

Lister Simon PETER

Asadi Bakari BARIDI

7

DODOMA MJINI

Meja (Mst) Johnick Risasi SALINGO

Charles Saimon MAMBA

Vanessa Frank MARIKA

 

 

4.     MKOA WA GEITA

1.

BUKOMBE

Kevin Stephen MAKONDA

Matondo Kihanda LUTONJA

Robart oseph WANKA

2

GEITA

Barnabas Mhoja MAPANDE

Simon Luchagula NYAWAYI

Shadrack John MEDARD

3

MBOGWE

Lugenga Mohamed LUGENGA

Said Tangawizi BULIME

Odilia Francis MAHOLELO

Mathias Lusangija NYORORO

4

NYANG’WALE

Alhaj Adam Masoud MTORE

Solomn Ihare MABATI

Johaness Okinyi ABONG’O

Juster Zacharia KUMALIJA

5

CHATO

Goodluck Mafwimbo MUYABI

Rapael Ndaki MASAMBO

Barnabas Jacob NYEREMBE

John Matata STANSLAUS

 

5.     MKOA WA IRINGA

1

IRINGA MJINI

Said Salim RUBBEYA

Elina Abel MARUMA

Leonard Raphael MGINA

2

IRINGA VIJIJINI

Costantino Teodos KIHWELE

Delfina Mwimble MTAVILALO

Yakub Japhary KIWANGA

3

KILOLO

Killian Edson MYENZI

Dr Chelastino Simbalimile MOFUGA

John Mwacheng’ombe KITEVE

4

MUFINDI

George Peter KAVENUKE

Zamoyoni Abdala KILYENYI

Daniel Ulindumu MWAISELA

Clever Marchon NDANZI

 

 

6.     MKOA WA KAGERA

1

BUKOBA MJINI

Joas Muganyizi ZACHWA

Samson Celestin RWEBANGIRA

Murungi Badru KICHWABUTA

John Joseph MUGANGO

2

BIHARAMULO

Robert Alphonce MALULU

Anatory Kasazi CHOYA

Lucas Herman JOHN

Pilly Mkaka MAKUNENGE

3

BUKOBA VIJIJINI

Evarister Martine BABYEGEYA

Philipo Evarister KALOKOLA

Alistides Damian KWESIGABO

4

NGARA

Fadhil Christopher RUSAGE

George Jackison RUBAGORA

Hamis Hamad BALYANGA

Vitalis Misago NDAILAGIJE

5

MULEBA

Athumani Abdul KAHARA

Ludovick Dominic KABELINDE

Reinahold Tirutangwa MUJUNI

6

KYERWA

Abasi Mussa RUTALAMKA

Daniel Damian MUSABE

Flavius Mwebembezi KABALILA

7

KARAGWE

Paschal Kajura RWAMUGATA

Johansen Mufishagwe CHRISTIAN

Japhece Ezron RUZUMBA

8

MISENYI

Paskazia Sebastian NAKAWESI

Ferdinand John BANYENZAKI

Dr. Frank Theophil MUGANYIZI

Said Ibrahim SELUH

 

7.     KATAVI

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

 

MPANDA

1.      Method Philip MTEPA

2.      Emmanuel David MANAMBA

3.      Mweji Kabudi JINYAM

2

TANGANYIKA

1.      Yassin M. KIBERITI

2.      Matheo Z. LUCAS

3.      Omar M. KAMWENDWE

3

MLELE

1.      Wolfugang Mizengo PINDA

2.      Erick Joseph KAGUSA

3.      Jojina Valeli KASAMYA

 

 

8.     KIGOMA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

KIGOMA VIJIJINI

1.      Deusidedth Syellu ALPHONCE

2.      Halimenshi Kahena MAYONGA

3.      Jeremiah Lameck BAYAGA

2

KIGOMA MJINI

1.      Ahmed Kakumba MWILIMA

2.      Alh. Yassin Hamisi MTALIKWA

3.      Masoud Mohamed MTABIRI

3

BUHIGWE

1.      Yasin John MDONYA

2.      Ereneo Januari DYEGULA

3.      Shauri Benedict KAYANDABILA

4

KAKONKO

1.      Samoja Sadock NDILALIHA

2.      Fides Mahagara MUTWE

3.      Fredrick Bisaga RUSIGA

5

KASULU

1.      Elias Yoram MASENDE

2.      Mbelwa Abdallah CHIDEBWE

3.      Veronica Petro NTIYALUNDURA

6

KIBONDO

1.       Hamis Salum TAHIRO

2.      Evaristo Masigo BIDAGA

3.      Sophia Edwini CHINDEYA

4.      Abadani Manisha NTAWE

7

UVINZA

1.      Abdul Mpilipili KIGANZA

2.      Majaliwa Zuber KAYANDABILA

3.      Mohamed Khalfan GWAMA

4.      Emmanuel John KARAYENGA

 

 

9.     KILIMANJARO

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

MOSHI MJINI

1.      Alhaj. Omar Amin SHAMBA

2.      Said Maulid MNDEME

3.      Siri Seif NKYA

4.      Faraji Kibaya SWAI

2

SIHA

1.      Edina Michael LUKUMAI

2.      Luca Sendui LAIZER

3.      Wilfred LUKA MOSSI

3

HAI

1.      Wang’uba W. MAGANDA

2.      Christopher Shaban MADULU

3.      Sophia Viggo REIFFENSTEIN

4.      Ibahim Abdallah NDOSSA

4

MOSHI VIJIJINI

1.      Esther Richard KWAY

2.      Abel Venance MASSAWE

3.      Siril Ileti MUSHI

5

ROMBO

1.      Sophia Bartholomew KILAWE

2.      Daniel Bonaventura SALEKIO

3.      Anthony Joachim TESHA

6

MWANGA

1.      Jaffar Hamisi KANDEGE

2.      Ibrahim Salim MNZAVA

3.      Mamboleo Teri MSHANA

7

SAME

1.      Abdillah Suleiman MNYAMBO

2.      Joseph Daniel KATERI

3.      Beatrice Zilli MKINDI

 

10.                        LINDI

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

LINDI MJINI

1.      Abdallah Ally MADEBE

2.      Leppy Hamisi NNEKE

3.      Bakari Ali BWATAMU

2

NACHIGWEA

1.      Longnus NAMBOLE

2.       Azizi Abdallah LIEGA

3.      Raphael Petro SAANANE

3

KILWA

1.      Ally Kambi MANDAI

2.       Saidi Ali TIMAMY

3.      Raffi Hassani KUCHAO

4

LIWALE

1.      Mohamedi Abdallah KITURA

2.      Hemedi Abdallah NDEMANE

3.      Kindamba Saidi MILINGO

5

RUANGWA

1.      Rashidi Hassan NAMKUBYA

2.      Ibrahim Issa NDORO

3.      Fatuma Rashidi NG’OMBO

6

LINDI VIJIJINI

1.      Athumani Seif HONGONYOKO

2.      Livigha Musa LIVIGHA

3.      Jenifa Kletus CHIMETA

 

 

11.                        MANYARA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

HANANG’

1.      Thomas Simon AKONAAY

2.       Samwel Singa QAWOGA

3.      Emmanuel John GAMASA

2

KITETO

1.      Mohamedi Kiondo MAGULUKO

2.      Bakari Mussa KILAMA

3.      Hasani Erasto LOSIOKI

3

MBULU

1.      Afrikanus Samwel MMAO

2.      Marco Daniel BADDO

3.      Melkiadi Yakobo NARI

4

BABATI MJINI

1.      Elizabeth Bombo MALLEY

2.      Frank Tlaghasi TIMOTHEO

3.      Silas Wema GHALLO

4.      Mohamed Farah OMAR

5

SIMANJIRO

1.      Kiria O. LAIZER

2.      Ana Moinan SHININI

3.      Haiyo Yamath MAMASITA

6

BABATI VIJIJINI

1.      Hhaibel Buu JACKSON

2.      Aloyce Martin HAYUMA

3.      Ezekiel Danghalo MAYO

 

 

12.                        MARA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

RORYA

1.      Zephania Ombuo MIGIRE

2.      Hamis Petro MARANDI

3.      Ongujo Wakibara NYAMARWA

2

SERENGETI

1.      Jacob Begha GEHAMBA

2.      Mrobanda Japan MKOME

3.      Pasto Maiso MACHOTA

3

TARIME

1.      Marwa Daudi KEBOHI

2.      Mairo Marwa WANSOKO

3.      Nyerere Jackson MWERA

4

MUSOMA MJINI

1.      Benitha Benjamini KISHOBERA

2.      Magiri Benedictor MAREGESI

3.      Daudi Adam MISANGO

5

BUTIAMA

1.      Yohana Mwita MIRUMBE

2.      Christopher Marwa SIAGI

3.      Joseph Cosmas MAGESI

4.      Alfredy Mayani KIKUTE

6

BUNDA

1.      Sospeter Gomborojo MASAMBU

2.      Mayaya Abraham MAGESSE

3.      Eliya Mangarama SEENENE

7

MUSOMA VIJIJINI

1.      Gideon Matto EGWAGA

2.      Leftinant Chitala MUKAMA

3.      Denis M.Michael EKWABI

4.      Magafu Katura KITUNDULE

 

 

 

 

13.                        MKOA WA MBEYA

NA

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.       

MBEYA VIJIJINI

1. Akimu Sebastian MWALUPINDI

2. Japhet James MWANASENGA

3. Ramadhani Mwantute MWANDALA

2.       

RUNGWE

1. Meckson Moses MWAKIPUNGA

2. Sam Aswulwisye MWAKAPALA

3. Dr. Salatie Moyo MWAKYAMBIKI

4. Elizabeth Sekile MWASONYA

3.       

CHUNYA

1. Noel Zinginali CHIWANGA

2. Shilla Nsungushe SHEYO

Edward Haisule MWASOTE

4.       

MBALALI

1. Mbwilo Obadia MARY

2. Mgao Pesipesi IGANAS

3. Kitalima Jemsi LEONARD

5.       

MBEYA MJINI

1. Afrey Athanas NSOMBA

2. Tumpale Mwakisu LAIZER

3. Moses Anyelwisye MWIDETE

6.       

KYELA

1. Elias Ulisaja MWANJALA

2. Rahabu Nsajigwa KAJENGA

3. Patrick Mwanyosi MWAMPETA

 

 

14.                        MKOA WA MOROGORO

NA

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.       

MOROGORO MJINI

1. Fikiri Hassan JUMA

2. Hamza Yahya MFAUME

3. Thadeo Sumuni MPULILA

4. Francis Emily KAYENZI

2.       

MOROGORO VIJIJINI

1. Gerold Filbert MLENGE

2. Mohamed Athumani MZEE

3. Rehema Muhamed MGAMBA

4. Mzeru Deogratias PAUL

3.       

GAIRO

1. Dastan Malema MZIWANDA

2. Rehema Yhoana KIMOLETA

3. Dunstan Daudi MWENDI

4. Sebastian Charles MBWAIKI

4.       

ULANGA

1. Asunta Antori NDITU

2. Balua Hery PROSPER

3. Haji Ahamadi MPANDA

5.       

KILOSA

1. Amer Mbaraka AHMED

2. Desderia Magnusi LIMBWENDA

3. Michael Thomas MKOLOKOTI

6.       

KILOMBERO

1. Mohamed Said MSUYA

2. Mashaka Mohamed NGWEGA

3. Samson Linus NGWILA

4. Abdallah Salum KAMBANGWA

7.       

MVOMERO

1. Asha Shabani KHALFANI

2. Alfred Cosmas LUANDA

3. Jaka Telesphory MICHAEL

4. Maneno Khamisi CHISEPO

8.       

MALINYI

1. Maximillian Japhal KIDAULA

2. Peter Paul MKANIGALO

3. Khalidi Adamu NALYOTO

 

 

 

15.                        MKOA WA MTWARA

NA

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.       

MASASI

1. Arafati Ismail HASSANI

2. Edward Victor MMAVELE

3. Mariam Reube KASEMBE

4. Margaret Joseph MALENGA

2.       

MTWARA VIJIJINI

1. Nashir Mfaume PONTIYA

2. Salima Ally MPAMBAIKE

3. Swalehe Mohamedi LIVANGA

4. Muharami Hassani MDIDIMA

3.       

NANYUMBU

1. Bushiri Hassani MAGOMBO

2. Rajabu Maganda CHILALA

3. Rashidi Ally MROPE

4. Zena Abasi STAUBI

4.       

NEWALA

1. Jabili Mohamed MTANDA

2. Ally Saidi MWAMBA

3. Masudi Ismail MBELENJE

5.       

MTWARA MJINI

1. Habiba Ally BAKARI

2. Salumu Hassani NAIDA

3. Swalehe Rashidi HITTU

6.       

TANDAHIMBA

1. Ismail Abdallah MKADIMBA

2. Farida Bakari CHILUNDA

3. Kasimu Swalehe LIHUMBO

 

 

 

16.                        MKOA WA MWANZA

NA

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.       

ILEMELA

1. Suzana Clement KABULA

2. Mwl. Angelina Josephat OMUYANJA

3. Yusuph Ernest BUJIKU

2.       

KWIMBA

1. David Mayala MULONGO

2. Sabana Lushu SALINJA

3. Samson Mayunga KADASO

4. Paul Sospeter GAMBAGO

3.       

NYAMAGANA

1. Zebedayo Jonas ATHUMAN

2. Peter John BEGGA

3. Patrick Kambarage NYABUGONGWE

4.       

SENGEREMA

1. Chasama Chasama KAMATA

2. DM Mark Augustine MAKOYE

3. Daud Bugisha MASELE

5.       

UKEREWE

1. Ally Hamis MAMBILE

2. Maxmillian Munubhi MANDAGO

3. Asia Omary ULIMWENGU

6.       

MISUNGWI

1. Medard Daud MWIJAGE

2. Michael Lushinge MASANJA

3. Anthony Bahebe MASELE

7.       

MAGU

1. Hassan Said JIMBO

2. Enosy Ndobeji KALAMBO

3. Jonathan Nkalawa LUPONDIJE

 

17.                        MKOA WA NJOMBE

NA

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.       

MAKETE

1. Ona Amos NKWAMA

2. Clemence Mwawite NGAJILO

3. Peter T. MPONDA

4. Ales Kete MBOGELA

2.       

WANGING’OMBE

1. Frank Titus CHAULA

2. Hamis Nurdin DILMURAD

3. Monika John MGUMBA

3.       

LUDEWA

1. Satanley Haule KOLIMBA

2. Thobias Thobias LINGALANGALA

3. Teopista Ferdinand MHAGAMA

4. Silvester Alfons MGINA

4.       

NJOMBE

1. Edward Pius MGAYA

2. Joyce Zabron GAKYE

3. Justin Idfonce NUSULUPIA

 

 

 

18.                        MKOA WA PWANI

NA

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.       

KIBAHA MJINI

1. Bundala Maulid BUNDALA

2. Mwajuma Amiri NYAMKA

3. Sauda Ramadhani MPAMBALYOTO

4. Abdallah Abushekhe MDIMU

2.       

KIBITI

1. Abdul Jabiri MAROMBWA

2. Abdallah Seif MPILI

3. Juma Kassim NDARUKE

3.       

KISARAWE

1. Khalfani Shabani SIKA

2. Pazi Rajabu MAGIMBA

3. Maalim Ramadhani KAVURUGA

4.       

RUFIJI

1. Rajabu Omari MBONDE

2. Hussein Yusufu LIKOSELO

3. Nuru Omari MUHANI

5.       

KIBAHA VIJIJINI

1. Mkali Saidi KANUSU

2. Athumani Shabani ZANDA

3. LT COL Angolile Aroni MWAKAJINGA

4. Amina Ally KOBO

6.       

MAFIA

1. Hassani Shomari PANGO

2. Mohamed Hassan FAKI

3. Hadija Salumu NASSORO

7.       

BAGAMOYO

1. Abdul Rashid ZAHORO

2. Amiri Idi MKANG’ATA

3. Joyce Emanuel ABDI

8.       

MKURANGA

1. Juma Said MAGAHILA

2. Hadija Muhsin MATITU

3. Sheni Omary KILINDO

4. Nassoro Ally CHUMA

 

19.                        MKOA WA RUKWA

NA

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.       

KALAMBO

1. Alfred Sokoni MWANGA

2. Vitus Joseph NANDI

3. Julias January TETE

2.       

SUMBAWANGA VIJIJINI

1. Engelbert Helman MWANISAWA

2. Mahamud Leonce MGWENO

3. Chrisant Joseph KALASA

3.       

NKASI

1. Keissy Salum Soud ALJABRY

2. Joshua Yortani MGAYA

3. Kasawanga Adam SOSPETER

4.       

SUMBAWANGA MJINI

1. Anuary Mohamed SAID

2. Chami Siegfried CHASUKA

3. Justus Athanaz KASALAMA

 

20.                        RUVUMA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

NAMTUMBO

1.      Agrey Atupele MWANSASU

2.      Kassim Abdul NTARA

3.      Zuberi Said LIHUWI

4.      Vintan Lazarus NJEREKELA

2

NYASA

1.      Fidelis Kalodwick DUWE

2.      Abel Emmanuel KOMBA

3.      Moses Fulkwart NDUNGURU

4.      Charles Mackenzie HAULE

3

SONGEA

1.      Hamis Abdalah ALLY

2.      Cesilia William MAPUNDA

3.      Mwinyi Abdalah MSOLOMI

4

TUNDURU

1.      Ally Rashid SIMBA

2.      Rashidi Yunus MKOTA

3.      Abadallah Adam MTILA

5

SONGEA VIJIJINI

1.      Christa Joseph KOMBA

2.      Thomas Simon MASOLWA

3.      Twaibu Yusuphu MTOYOMBA

6

MBINGA

1.      Godluve Joakim KIGAE

2.      Joseph Agustino MDAKA

3.      Thabita Aidan LUNGU

 

21.                        SHINYANGA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

SHINYANGA VIJIJINI

1.      Edward Helege NGELELA

2.      Anna James NG’WAGI

3.      Peter Shija KAWIZA

4.      Wenzetu Msabaha MGEJA

2

SHINYANGA MJINI

1.      Mokhe Warioba NASSOR

2.      Magile Anold MAKOMBE

3.      Pendo John SAWA

3

KISHAPU

1.      Ntelezu Malisha SHIJA

2.      Joyce Mduma BAYA

3.      Mafungwe Kulwa SEMBE

4.      Kashinje Juma BULUGU

4

KAHAMA

1.      Thomas Muyonga LUHAMYA

2.      Constantine Francis MAKOYE

3.      Michael Kulwa NSILE

 

22.                        SIMIYU

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

BARIADI

1.      Juliana Wille MAHONGO

2.      Zacharia Kwanza SHILIKALE

3.      Samwel Mweipagi HIBA

2

MASWA

1.      Eng. Paul Ndushi JIDAYI

2.      Mercy TIMANYWA

3.      Marco BUKWIMBA

4.      Onesmo MAKODA

3

BUSEGA

1.      Kauli Idaso MAYALA

2.      Ramadhani Jimmy MSOKA

3.      Daud Juma NG’HINDI

4

ITILIMA

1.      Peter Bahini NONI

2.      Joseph Chimaguli KABALO

3.      Mhuli Ngeleja LUBUYI

5

MEATU

1.      Abdillah Hassan HAJI

2.      Philip Kahema KITINYA

 

 

23.                        SINGIDA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.

SINGIDA MJINI

1.      Lucia Andrea MWIRU

2.      Athuman Hamis TIKAE

3.      Maulidi Juma SELEMANI

4.      Hassan Rajabu TATI

2

SINGIDA VIJIJINI

1.      William Mwang’imba NYALLANDU

2.      Jumanne Abdalah KUMALA

3.      Hamisi Rajabu NKUNGU

3

MANYONI

1.      Grace Hosea MLULE

2.      Elia Abrahamu NOLLO

3.      Jumanne Ismail MAKHANDA

4

IKUNGI

1.      Japhari Hamisi DUDE

2.      Mika Lucas LIKAPAKAPA

3.      Shabani Dude ITAMBU

5

IRAMBA

1.      Samwel Ashery JOEL

2.      Daniel Athumani SIMA

3.      Elias Kitalama MKOMA

6

MKALAMA

1.      Lameck Clement ITUNGI

2.      Apolo Samwel MASANJA

3.      Mpazi Napengwa PAULO

 

24.                                    SONGWE

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

SONGWE

1.      Hamad Ramadhani JUMA

2.      Fatuma Hussein NKELANZA

3.      Mabrouk Albert MWAISELO

2

MBOZI

1.      Willson Mwima SIMBEYE

2.      Majaliwa Leopard MLAWIZI

3.      Saimon Ndosta MBOYA

3

ILEJE

1.      Patrick Alisile GHAMBI

2.      Maisha Withus SILWIMBA

3.      Assa Michael MBEMBELA

4

MOMBA

1.      Silvester Martin LWILA

2.      Weston Allam SIMWELU

3.      Frank Mofati MBEMBELA

4.      Sophia Daimon MWANJANJA

 

25.                        TABORA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

KALIUA

1.      Elias Kaseko GITTI

2.      Selemani Denis ONESMO

3.      Rashid Juma NAMBARI

2

SIKONGE

1.      Alaija Jordan MWIGA

2.      Anna Wilison CHAMBALA

3.      Nassor Juma KALUNGWANA

3

IGUNGA

1.      Mafunda Jingweka TEMENYA

2.      Amos Jegu MAHENE

3.      Abubakar Shaaban ABDALLAH

4

TABORA MJINI

1.      Dunia Yusufu DUNIA

2.      Tausi Maulid KAPAYA

3.      Mohamed Athumani KATETE

5

URAMBO

1.      Mussa Shaban MOHAMED

2.      Emmanuel Chrisantus SOKO

3.      Emmanuel Kefas GEMBE

6

NZEGA

1.      Lt. (Mst) Maganga Midelo SENGELEMA

2.      Alex Maziku KILONDELA

3.      Madebe Nhale KALEKWA

7

UYUI

1.      Lubasha Saidi MAKOBA

2.      Hamza Abdallah SHOO

3.      Tabu Abdalla MPAMBWE

 

26.                        TANGA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1

KOROGWE MJINI

1.      Robert William BAGO

2.      Thobias Mugweta NUNGU

3.      Stephen Ngwanyemi MDOE

2

KOROGWE VIJIJINI

1.      Nassoro Hemed NASSORO

2.      Ally Abdallah WAZIRI

3.      Hemedi Bakari KINGAZI

3

MUHEZA

1.      Laick Said GUGU

2.      Peter Joseph MHANDO

3.      Hussein Hassan KISIMBO

4

MKINGA

1.      Abdallah Seif SINGANO

2.      Ismail Omari KASSOMO

5

LUSHOTO

1.      Rashid Hassan SHEKARATA

2.      Ally Kassim DAFFA

3.      Hussein Selemani JAMBIA

4.      Sadakati Hamisi KIMATI

6

HANDENI

1.      Amiri Ramadhani CHANGOGO

2.      Ahmadi Salehe CHIHUMPU

3.      Ramadhani H. DILIWA

7

KILINDI

1.      Alhaji Mohamed Rajabu ZAMBO

2.      Hamisi Said KAMAU

3.      Mohamed Rajabu KUMBI

8

TANGA

1.      Meja (Mst) Hamisi Bakari MKOBA

2.      Selemani Bakari ZUMO

3.      Hamida Abass MOHAMED

9

PANGANI

1.      Twalibu Mohamed AKIDA

2.      Abdallah Mahmoud ABDALLAH

3.      Pilli Ally OMARI

 

(b)     Kwa Upande wa Zanzibar

 

1.      KASKAZINI PEMBA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.       

MICHEWENI

1.      Maryam Omar ALI

2.      Ali Massoud KOMBO

3.      Hidaya Omar KHAMIS

2.       

WETE

1.         Ali Bakari ALI

2.         Khamis Ali HAMAD

3.         Juma Shaaban JUMA

 

2.      KASKAZINI UNGUJA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.       

KASKAZINI ‘A’

1.  Haruna Juma HASSAN

2.  Ali MAkame KHAMIS

3.  Foum Haji KOGE

2.

KASKAZINI B

1.            Ali Khamis ALI

2.            Zamir Makame  BARO

3.            Simba Haji MCHA

4.            Ali Maabadi OMAR

 

3.      KUSINI PEMBA

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

  1.

CHAKECHAKE

1.      Suleiman Juma ALI

2.      Ali Mohamed Ali CHANDE

3.      Khamis Salim KHAMIS

2.

MKOANI

1.      Chumu Abdalla ABDALLA

2.      Ali Juma NASSOR

3.      Bikombo Ali OMAR

 

4.      KUSINI UNGUJA.

 

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.

KATI

1.      Ali Abdulla HAJI

2.      Hidaya Juma MAKAME

3.      Hassan Mrisho VUAI

4.      Hassan Mussa BAKARI

2.

KUSINI

1.      Shafi Hamadi ALI

2.      Mgana Idi KHAMIS

3.      Ali Hilal MNOGA

 

5.      MAGHARIBI

 

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.

DIMANI

1.      Omar Mzee HASSAN

2.      Maabadi Ali MAULID

3.      Hussein Ali MJEMA (KIMTI)

2.

MFENESINI

1.      Idd Sultani LUWAMBO

2.      Mbarouk Mrakib MBAROUK

3.      Daud Silas MUKAKA

4.      Kesi Mashaka NGUSA

 .       MJINI.

 

NA.

WILAYA

WALIOTEULIWA KUGOMBEA

1.

AMANI

1.      Ndiye Rajab ALI

2.      Seif Amir SEIF

2.

MJINI

1.      Abdalla Rashid ABDALLA (Mamba)

2.      Juma Fakih CHUM

3.      Hamid Bilal GHARIB

4.      Hamid Mbwana SAID

  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.