Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali
nchini Rwanda ambapo anatarajia
kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa Mwaka 2022 (AGRF
2022) unaofanyika nchini humo kuanzia tarehe 6 hadi 9 Septemba 2022.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana
na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Mheshimiwa Vincent Biruta wakati
alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano
wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa Mwaka 2022 (AGRF 2022) unaofanyika
nchini humo kuanzia tarehe 6 hadi 9 Septemba 2022.
No comments:
Post a Comment