Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Mhe. James Mbatia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ndugu. James Mbatia, wakati walipokutana katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Ndugu. James Mbatia, wakati walipokutana katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam leo 2-9-2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.