Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Premier League Kati ya Uhamiaji na Malindi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja.Timu hizo zimetoka Sare ya 0-0

Mshambuliaji wa Timu ya Uhamiaji akijaribi kumpita beki wa Timu ya Malindi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Premier League mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana.0-0.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.