Habari za Punde

Mkutano wa Warsha ya Walimu Juu ya Uimarishaji wa Viwango vya Kujifunza

Naibu Katibu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar  Dkt.Mwanakhamis Adam Ameir Akifunga warsha ya Uchukuaji wa maoni kwa walimu juu ya uimarishaji wa viwango vya kujifunza(achievement standards) vya Elimu ya Maandalizi na Msingi Katika ukumbi wa kituo cha Walimu cha Michakaini Pemba.

Baadhi wa Walimu Pemba wakimsikiliza Naibu Katibu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar  Dkt.Mwanakhamis Adam Ameir,akifunga warsha ya Uchukuaji wa maoni kwa walimu juu ya uimarishaji wa viwango vya kujifunza(achievement standards) vya Elimu ya Maandalizi na Msingi Katika ukumbi wa kituo cha Walimu cha Michakaini Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.