Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Ametowa Mkono wa Pole na Kujumuika na Wananchi Katika Kisomo cha Hitma Kumuombea Dua Marehemu Mussa Hassan Mussa Bwejuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wanafamilia wa Marehemu Mussa Hassan Mussa, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar, alipofika Kijijini kwao marehemu Bwejuu kwa ajili ya kutowa mkono wa pole na kuhudhuria Kisomo cha Hitma na dua ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika Msikiti wa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Mussa Hassan Mussa, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar, kisomo hicho kilichofanyika katika Msikiti wa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja 15-10-2022, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu Sheikh Khalid Ali Mfaume

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Mussa Hassan Mussa, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar, kisomo hicho kilichofanyika katika Msikiti wa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja leo 15-10-2022, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe. Rajab Yussu Mkasaba (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu Sheikh Khalid Ali Mfaume.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Mussa Hassan Mussa, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar, alipofika nyumbani kwa familia ya marehemu Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja 15-10-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanafamilia ya Marehemu Mussa Hassan Mussa, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani  wakiitikia dua ya kumuombea marehemu, alipofika kutowa mkono wa pole kwa familia Kijijini kwao Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja 15-10-2022, ikisomwa na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume.(kushoto kwa Rais)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.