Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefungua Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja alipowasili kwa ajili ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid hiyo leo 30-9-2022, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika eneo la Masjid Noorul Qadiriya kwa ajili ya Ufunguzi wa Masjid hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja na kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika baada ya ufunguzi huo. 30-9-2022, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya ufunguzi huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria ufungua wa Msjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kasakazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Sheikh.Ali Suleiman Mawele
Sheikh Khamis Abdulhamid akisoma dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noorul Qadiria Kandwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ikisomwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
Ustadh Khamis Mgeni akisoma risala na salamu za Wananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya  Kandwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Mkoa wa Kaskazini Unguja
WANANCHI wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia baada ya ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi na kujumuika katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 30-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kandwi baada ya kumaliza kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi leo 30-9-2022, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mwananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya Kaskazini “A” Unguja Bi. Miza Baya Khamis, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya iliyofanyika leo 30-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mwenyekiti wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Sheikh.Ali Suleiman Mawele, baada ya ufunguzi wa Masjid hiyo na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 30-9-2022 katika Msikiti huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Kandwi baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Msikiti huo na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 30-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi leo 30-9-2022. Mkoa wa Kaskazini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.