RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Maoni ya Washiriki
wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, na Katibu
wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla
hiyo iliyofanyika leo 10-10-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Ripoti ya Kuchambua Maoni ya
Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, Mwenyekiti wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi)
Dkt.Ali Uki, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
10-10-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Ripoti ya Kuchambua Maoni ya
Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar,
baada ya kukabidhiwa leo 10-10-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum
(Kikosi Kazi) wakati wa kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa
Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Mhe.Jaji Francis Mutungi na Viongozi
wengine wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa
Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya
Vyama Vingi vya Siasa, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 10-10-2022
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya (Kikosi Kazi)
Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa kukabidhiwa
Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya
Vyama Vingi vya Siasa, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 10-10-2022,na wa kwanza Mwenyekiti wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi )
Dkt.Ali Uki na Makamu Mwenyekiti Mhe Balozi Amina Salum Ali.
WAJUMBE wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ) ya
Kuchambua maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vya
Siasa Zanzibar , wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza kabla ya
kukabidiwa Ripoti ya Maoni ya Wadau, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022
WAJUMBE wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ) ya
Kuchambua maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vya
Siasa Zanzibar , wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza kabla ya
kukabidiwa Ripoti ya Maoni ya Wadau, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022.
WAJUMBE wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ) ya
Kuchambua maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vya
Siasa Zanzibar , wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza kabla ya
kukabidiwa Ripoti ya Maoni ya Wadau, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kamati
Maalum ya (Kikosi Kazi) ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa
Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, baada ya kumalizika kwa hafla ya
kukabidhiwa Ripoti ya Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya
Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 10-10-2022.
No comments:
Post a Comment