RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa
Serikali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano
wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama
Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 4-10-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaaf Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe. Jaji Francis Mutungi
MWENYEKITI wa Baraza la Vyama vya Siasa Mhe.
Juma Ali Khatib akizungumza na kutowa Salamu za Vyama vya Siasa wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanahusu
Demokrasia ya Vya Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini
Zanzibar leo 4-10-2022 na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Jaji
Francis S.K.Mutungi akizungumza na kutowa maudhui ya Mkutano wa Wadau wa
Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya
Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022, uliowashirikisha Wadau wa
Vyama vya Siasa Zanzibar na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa
Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya
Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022
MSHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala
Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar Bi.
Pavu Abdalla kutoka Chama cha ACT- Wazalendo akichangia Mada inayozungumzia
Historia ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyowasilisha katika
mkutano huo na Prof Mohammed Makame Haji, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi
wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022
MSHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala
Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar
Sheikh.Saleh Mohammed kutoka Kamati ya Amani na Maridhiano Zanzibar,akichangia
Mada inayozungumzia Historia ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar,
iliyowasilisha katika mkutano huo na Prof Mohammed Makame Haji, mkutano
huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli
ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Jijini Zanzibar leo 4-10-2022
WAGENI waalikwa katika Mkutano wa Wadau wa
Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya
Siasa, wakifuatilia mkutano huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua
mkutano huo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
No comments:
Post a Comment