Habari za Punde

Mabalozi wa Tanzania Waainisha Fursa za Biashara na Uwekezaji

Sehemu ya waheshimiwa mabalozi wakifuatilia majadiliano katika Mkutano wa Mheshimiwa Rais na Mabalozi unaofanyika tarehe 14 – 21 Novemba, 2022 Zanzibar.Sehemu nyingine ya Waheshimiwa mabalozi wakifuatilia majadiliano katika Mkutano wa Mheshimiwa Rais na Mabalozi unaofanyika tarehe 14 – 21 Novemba, 2022 Zanzibar.
Viongozi Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na mabalozi wakifuatilia kikao katika Mkutano wa Mheshimiwa Rais na Mabalozi unaondelea Zanzibar.
Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ukiongozwa na Waziri Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Naibu Waziri Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, Katibu Mkuu Balozi Joseph Sokoine, Naibu Katibu Mkuu, Balozi Fatma Rajab katika picha ya pamoja na mabalozi wa Tanzania Nje ya nchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.