Habari za Punde

Rais Dk Hussin Mwinyi ashiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Chamwino Dodoma

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamo wa Rais wa Jamhurti ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidori Mpango   katika Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo Ukumbi wa Mikutano Ikulu ya Chamwino Dodoma leo .[Picha na Ikulu] 22/11/2022.
Wajumbe wa Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri  Kuu ya CCM Taifa wakifuatilia kwa makini kikao kinachoongozwa na Mwenyekiti wake Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Chamwino Dodoma leo.[Picha na Ikulu] 22/11/2022.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi  Taifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg.Daniel Chongolo baada ya kumalizika kwa Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu kilichofanyika Ikulu Chamwini leo chini ya   Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan. [Picha na Ikulu] 22/11/2022.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi  Taifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na wajumbe baada ya kumalizika kwa Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu kilichofanyika Ikulu Chamwini leo chini ya   Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan. [Picha na Ikulu] 22/11/2022.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi  Taifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg.Daniel Chongolo alipowasili Chamwino kushiriki Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu kilichofanyika Ikulu Chamwini leo. [Picha na Ikulu] 22/11/2022
/Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiongoza  kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM  kilichofanyika leo Ukumbi wa Mikutano Ikulu ya Chamwino Dodoma .[Picha na Ikulu] 22/11/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.