Habari za Punde

REPOA waandaa warsha ya 26 ya utafiti na Sera Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda  Zanzibar  Mhe. Omar Said Shaaban akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusiana na  warsha ya 26 ya utafiti na Sera itakayofanyika Novemba 2-3 katika hoteli ya Golden tulip, iliyoandaliwa na REPOA wakishirikiana na Benki ya CRDB,hafla hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hotel hiyo iliyopo Uwanja wa ndege Zanzibar. FAUZIA MUSSA MAELEZO ZANZIBAR 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.