Habari za Punde

TUZO za Rais za Wazalishaji Bora wa Viwandani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea zawadi ya ngao kutoka kwa mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda nchini (CTI) Paul Makanza mara baada ya kumalizika Hafla ya utoaji Tuzo za Rais za wazalishaji bora wa viwandani zilizofanyika katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhi tuzo kwa mshindi wa kwanza wa jumla wa tuzo za Rais za wazalishaji Bora wa viwandani ambaye ni Tanga Cement wakati wa hafla ya utoaji tuzo hizo iliofanyika katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.