Habari za Punde

ZFF yakutana na Bodi ya Ligi ya Zanzibar kutafuta fursa za kuitangaza Ligi ya Zanzibar
Katibu Mkuu wa ZFF, Hussein Ahmada, ameongoza Kikao kati ya Viongozi wa Bodi ya Ligi Zanzibar, Maafisa wa Kamati ya Habari na Masoko wa ZFF na Viongozi wa Ngazi ya juu wa TV3 pamoja na Kampuni ya Startimes.


Kikao hicho, kimeazimia makubaliano ya mwisho ya mashirikiano ya kuitangaza (Branding) na kuitafutia Fursa zaidi Ligi Daraja la Kwanza Zanzibar (Kanda ya Unguja na Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.