Habari za Punde

Msanii Maarufu wa Ucheshi Joti Ashinda Tuzo za Filamu 2022

Balozi wa Airtel Tanzania Lucas Mhuvile almaarufu Joti akipokea Tuzo ya Filamu Bora - Ucheshi (Best Comedy) kupitia Tuzo za Filamu Tanzania 2022 zilizofanyika Tarehe 17 Disemba, 2022 jijini Arusha - AICC. Anayemkabidhi ni Raisi wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Bi. Synthia Henjewele.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.