Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa katika Kikao Maalum cha kwanza cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2023.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakipiga makofi wakati wa kumkaribisha Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan kuongoza Kikao cha kwanza cha Kamati Kuu Mpya ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2023.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha kwanza cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2023.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akisisitza jambo wakati alipokuwa akiongoza Kikao cha kwanza cha Kamati Kuu Mpya ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2023.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa katika Kikao Maalum cha kwanza cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2023.
TAMASHA LA UTALII NA UWEKEZAJI KISIWA CHA MAFIA LAZINDULIWA
-
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani
SERIKALI Mkoani Pwani, imedhamiria kufungua Kisiwa cha Mafia katika nyanja
ya Uchumi wa Bluu pamoja na kukitangaza ulimwenguni ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment