Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseim Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa ajili ya kumazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jana 8-2-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jana 8-2-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar jana 8-2-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar jana 8-2-2023.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.