Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmin katika ufunguzi wa Mradi wa Maduka ya Darajani Souk

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali  wakati alipowasili katika ufunguzi wa Mradi wa Maduka ya Darajani Souk leo,yaliyojenga na kampuni ya Africab Group   Tanznia katika Eneo la Darajani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi. 18/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wa Kampuni Africab Group Tanzania  wakati alipowasili katika ufunguzi wa Mradi wa Maduka ya Darajani Souk leo, yaliyojenga na Kampuni ya Africab Group Tanzania  katika Eneo la Darajani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi. 18/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (mbele kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamned  wakifungua pazia kufungua Mradi wa maduka ya Darajani Souk leo, yaliyojenga na Kampuni ya Africab Group Tanzania  katika Eneo la Darajani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi. 18/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuashiria  ufunguzi wa  Mradi wa Maduka ya Darajani Souk  yaliyojengwa na Kampuni ya Africab Group Tanzania  katika Eneo la Darajani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla iliyofanyika leo(kushoto kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na (kulia) Mkurugenzi Mwenza wa Africab Bw.Yussuf Ezzi(kushoto kwa Rais) na Viongozi wengine . 18/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakati alipotembelea Maduka ya Darajani Souk mara baada ya kuyafungua rasmi leo, ambapo Mradi wa Maduka huyo yaliyojengwa na Kampuni ya Africab Group Tanzania  katika Eneo la Darajani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,(kulia) Mkurugenzi Mwenza wa Africab Bw.Yussuf Ezzi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamned  (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa. 18/02/2023. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiangalia asali katika Duka la Mama Batul Ezzi wakati alipotembelea Maduka ya Darajani Souk mara baada ya kuyafungua rasmi leo,Mradi wa Maduka hayo yaliyojengwa na Kampuni ya Africab Group Tanzania  katika Eneo la Darajani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,(kushoto) Mkurugenzi Mwenza wa Africab Bw.Yussuf Ezzi. 18/02/2023. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)wakiwa na zawadi walizopokea kutoka kwa Fatma Yussuf Ezzi (kulia) na Mufaddal Aliasger Ezzi wote wa Africab Group,   alipotembelea Maduka ya Darajani Souk mara baada ya kuyafungua rasmi leo, yaliyojengwa na Kampuni ya Africab Group Tanzania  katika Eneo la Darajani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitia udongo wakati alipopanda mche wa Mnazi kama ishara ya kumbukumbu yake ya ufunguzi wa Mradi wa maduka ya Darajani Souk  yaliyojengwa na Kampuni ya Africab Group Tanzania  katika Eneo la Darajani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,viongozi mbali mbali walishuhudia kitendi hicho.
Baadhi ya majengo ya milango ya Mradi wa Maduka ya  Darajani Souk yaliyojengwa na Kampuni ya Afiricab Group ya Tanzania  katika eneo la  Darajani Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi na Kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Baadhi ya majengo ya milango ya Mradi wa Maduka ya  Darajani Souk yaliyojengwa na Kampuni ya Afiricab Group ya Tanzania  katika eneo la  Darajani Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi na Kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 18/02/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.