Habari za Punde

Kamati ya Uchumi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea TRA Zanzibar

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi ya Baraza la Wawakilishi Mhe Sabiha Fil Fil Thani  akizungumza katika Kikao na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA upande wa Zanzibar katika kazi za kawaida za kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za TRA Mlandege Wilaya ya Mjini Unguja Jijini.

Katika Kikao hicho walipokea taarifa ya utekelezaji ya Mamlaka hiyo, Wajumbe wa kamati hiyo wamepata fursa ya kutembelea maeneo mbali mbali ya ofisi hiyo na kujifunza mambo yanayohusu kodi. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.