Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Amekutana na Kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Ethiopia Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa  Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed uliowasilishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen aliyeambatana na Ujumbe wake  Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum ambae pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum ambae pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen na Ujumbe wake, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 24 April 2023.

Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.