Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakikabidhi Tiketi ya Boti ya Kilimanjaro VIII "Falcon of the Sea" abiria namba moja wa boti hiyo akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Marine Abubakar Azizi Salim, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Boti hiyo uliofanyika katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Boti
Mpya ya Kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro VIII “Falcon of the Sea” uzinduzi
huo uliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar .
WAGENI
waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kampuni ya Azam Marine ya
Kilimanjaro VIII “Falcon of the Sea “ uliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya
Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 24-4-2023, wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia na kuizindua boti hiyo
BAADHI
ya Viongozi wa Kampuni ya Azam Marine na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya
mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi
wa Boti Mpya ya Kilimanjari VIII “Falcon of the Sea” ya Kampuni ya Azam Marine,uliofanyika
katika eneo la viwanja vya Hotel ya
Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
WAKUU
wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Boti
Mpya ya Kampuni ya Azam Marine ya
Kilimanjaro VIII “Falcon of the Sea” wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia
katika uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya
ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono na kuwasalimia Wananchi
katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja wakati wa hafla
ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro VIII “Falcon
of the Sea” (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Azam Marine
Bw. Abubakar Azizi Salim na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
Azam Marine Bw.Mohammed Said Bakhressa
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni
ya Azam Marine Bw.Abubakar Azizi Salim akiwa katika chumba cha kuongozea boti
hiyo na kupata maelezo ya Kitaalum ya Boti ya Kilimanjaro VIII “Falcon of the
Sea” baada ya kuizindua na kutembelea boti hiyo
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akipiga honi kuashiria kuizindua rasmin Boti
Mpya ya Kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro VIII “Falcon of the Sea” ,
uzinduzi huo uliofanyika leo24-4-2023
katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa
na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe. Hemed Suleiman Abdulla baada ya
kuwasili katika Bandari ya Malindi Unguja na Boti ya Kilimanjaro VIII “Falcon
of the Sea” baada ya kuizindua Boti hiyo
leo katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa
na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe. Hemed Suleiman Abdulla baada ya
kuwasili katika Bandari ya Malindi Unguja na Boti ya Kilimanjaro VIII “Falcon
of the Sea” baada ya kuizindua Boti hiyo
leo katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitoka katika bandari ya Malindi Zanzibar baada
ya kuwasili na Boti Mpya ya Kilimanjaro VIII”Falcon of the Sea” wakitokea
katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni
Wilaya ya Mjini, katika hafla ya Uzinduzi wa Boti hiyo uliofanyika leo
24-4-2023 na (kulia kwa Mama Mariam Mwinyi) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
No comments:
Post a Comment