Habari za Punde

Maadhimisho ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Yafanyika Zanzibar Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip ZanzibarRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, iliyofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-5-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, iliyofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-5-2023
BAADHI ya Mabalozi wanowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, zilizofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 3-5-2023
WADAU mbalimbali wa Sekta ya Habari Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, iliyofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-5-2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.