Habari za Punde

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA BRAZIL NCHINI TANZANIA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg.Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumza na mgeni wake Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Mhe. Gustavo Martins Nogueira, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg.Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumza na mgeni wake Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Mhe. Gustavo Martins Nogueira, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam,Juni 21-2023.( Picha na Fahadi Siraji)
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg.Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Mhe. Gustavo Martins Nogueira, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam,Juni 21-2023.
( Picha na Fahadi Siraji)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.