Habari za Punde

Maofisa Mawasiliano wa na Wakuu wa Vitengo Waendelea na Ziara yao Mkoani Dodoma

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Nyamagory Omary kitwara akielezea juu ya utekelezaji wa majukumu ya ofisi yao mbele ya Wakuu wa Vitengo vya Habari Mawasiliano na Uhusiano wa  Zanzibar katika ukumbi wa Mikutano wa ofisi ya Waziri mkuu Jijini Dodoma .

Imetolewa na Idara ya Habari Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.