Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Agosti 2023 ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa chama cha CCM Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Makamo Mwenyekiti wa CCM, Mhe Abdulrhaman Kinana waakati wakishiriki Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
(Picha zote na CCM Makao Makuu)
No comments:
Post a Comment