Habari za Punde

ZCT na TTB kushirikiana

Waziri wa Utalii na Mali Asili Tanzania Mh Mohammed Omar Mchengerwa akishuhudia utiaji saini wa MoU ya ushirikiano baina ya Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ambapo kwa upande wa ZCT Amesaini Bi Aviwa Issa Makame ambae ni Kaimu Katibu Mtendaji na kwa upande wa TTB amesaini Bw Damasi Mfugale DG TTB. Tukio hilo limefanyika jijini Arusha katika ukumbi wa AICC mara tu baada uzinduzi wa bodi za TANAPA NA TTB. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.