Habari za Punde

Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika Maadhimisho ya kumbukumbu ya kutimiza miaka 100 ya Sheikh Alhabyb Omar Qullatein Bin Muhammad Annadhiriy

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akijumuika na Viongozi na Waislamu katika Kisomo maalum cha kumuombea dua Sheikh Alhabyb Omar  Qullatein Bin Muhammad Annadhiriy katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kutimiza miaka 100 katika msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi leo.[Picha na Ikulu] 26 sept 2023.
Baadhi ya Mashekhe na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakisoma Dua maalum ya kumuombea dua Sheikh Alhabyb Omar  Qullatein Bin Muhammad Annadhiriy katika maadhimisho ya kumbukumbu yake kutimiza miaka 100 katika msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi leo.[Picha na Ikulu]26 sept 2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa  Viongozi na Waislamu mbali mbali alipojumuika katika Kisomo maalum cha kumuombea dua Sheikh Alhabyb Omar  Qullatein Bin Muhammad Annadhiriy katika maadhimisho ya kumbukumbu yake kutimiza miaka 100 katika msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi leo.[Picha na Ikulu]26 sept 2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.