Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ashiriki maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini, Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Said Mohamed Dimwa pamoja na Viongozi wengine leo alipowasili Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Kushiriki maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Marehemu Mgana Zidi Khamis.[Picha na Ikulu] 08/09/2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kushoto) alipofika Kijiji cha Paje Nyumbani kwa Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM  Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid (kushoto kwa Rais )Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.[Picha na Ikulu] 08/09/2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Said Mohamed Dimwa (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid   wakitoka kutoa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM  Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja  leo katika Kijiji cha  Paje .[Picha na Ikulu] 08/09/2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na   Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid   alipofika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Paje akishiriki maziko ya  Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM  Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja  leo Kijijini  Paje .[Picha na Ikulu] 08/09/2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wan ne kulia) akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kumswalia   Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini katika Msikiti Mkuu wa Kijiji hicho . [Picha na Ikulu] 08/09/2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi( katikati) akitia udongo  kuzika mwili wa Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM  Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja huko kijijini kwao  Paje .[Picha na Ikulu] 08/09/2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.