Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wakuu wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC), Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akihutubia Wakuu wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi na
Mashirika ya Kimataifa katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika
(Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha Kenyatta (KICC), Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) Nairobi nchini Kenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi mbalimbali za Afrika, Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023.
No comments:
Post a Comment