Muonekano wa Boti za Kisasa za Uvuvi pamoja
na vifaa vyake katika Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko Mkoani Lindi tarehe 19
Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Aliyewahi kuwa Mbunge wa
Kilwa Kusini Suleiman Said Bungara Maarufu (Bwege) mara baada ya kuwahutubia
Wananchi wa Kilwa Masoko Mkoani Lindi
Shamrashamra za Watoto wakati
wa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katika eneo la Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko Mkoani Lindi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katika Mkutano wa hadhara
uliofanyika Kilwa Masoko Mkoani Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika
Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.
No comments:
Post a Comment