Habari za Punde

Waziri Lela alipofurahishwa na wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi Kidutani

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhamed Mussa akiwatunza Wanafunzi kutoka Skuli ya Maandalizi Kidutani kwa kucheza ngoma ya mwanandege wakati wa sherehe za kuzindua mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya lazima Zanzibar ambapo mgeni rasmi mhe Hemed Suleiman Abdullah makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar katika viwanja vya Skuli ya Msingi Salim Turkey Mpendae
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.