Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Fedha na Mipango Mhe. Dkt Saada Mkuya Salum jana Oktoba 26, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kifedha (ASA Microfinance Limited) Bibi Karin A. M.Kersten) ambae ameambatana na wajumbe mbalimbali akiwemo Mkurugenzi wa ASA Kwa upande wa Tanzania Ndg Muhammad Shah Newaj.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Fedha na Mipango Mhe. Dkt Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Taasisi ya kifedha ASA Microfinance Ltd
No comments:
Post a Comment