Habari za Punde

Mwenyekiti wa UWT Mary Chatanda ziarani Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi ya maendeleo

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda kushoto akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi mara baada ya kuwasili Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini  Unguja kwa ajili ya Ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoani humo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda akivishwa Skafu na Vijana wa Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuwasili Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini  Unguja kwa ajili ya Ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoani humo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Rashid Hadidi Rashid wakati akimpatia Taarifa za Mkoa mara  baada ya kuwasili Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini  Unguja kwa ajili ya Ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoani humo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda akimkabidhi Mwenezi Wilaya ya Kati Unguja Abdalla Khamis (MARU)Pikipiki kwa ajili ya huduma za Uenezi Wakati wa Ziara maalum alioifanya  kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoa Kusini Unguja.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda wapili kulia akimsikiliza Daktari dhamana wa Kituo cha Afya Wiya ya Kati Amina Hussein Pandu wakati alipotembelea kituoni hapo katika  Ziara maalum ya  kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoa Kusini Unguja.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda akizungumza na Mama ambae Mtoto wake amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Mwera Pongwe katika  Ziara maalum ya  kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoa Kusini Unguja.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda kushoto akipatiwa maelezo na Daktari Dhamana wa Hospitali ya Wilaya ya Mwera Pongwe Muhamed Juma Nahoda wakati akitembelea sehemu mbalimbali za Hospitali hio katika Ziara maalum ya  kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoa Kusini Unguja.
Mtambo wa kuhifadhia Gesi uliomo katika Hospitali ya Wilaya ya Mwera Pongwe kama unavyonekana Pichani.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda kushoto akimsikiliza Bi Bahati Issa Suleiman(Nahodha Mwanamke)wakati alipotembelea wakina mama Wajasiria mali wa Mazao ya Baharini  ikiwemo Chaza Chuwale Suka Kome Pweza nk katika Kituo chao Kikungwi katika Ziara maalum ya  kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoa Kusini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.