Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi azungumza na Maafisa na Askari wa vikosi vya SMZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi alipowasili viwanja vya Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "B" kwa ajili mya kuzungumza na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ leo katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 30/10/2023.
Maafisa wa Vikosi wa Vikosi vya Ulinzi wakisaluti wakati Wimbo wa Taifa Ukupigwa leo katika hafla ya Mazungumzo na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika  Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "B"mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 30/10/2023.
Maafisa wa Vikosi wa Vikosi vya Ulinzi wakisaluti wakati Wimbo wa Taifa Ukupigwa leo katika hafla ya Mazungumzo na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika  Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama Wilaya ya Magharibi "B"mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 30/10/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed (wa pili kulia) pamoja na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi wakisaluti wakati Wimbo wa Taifa Ukupigwa leo katika hafla ya Mazungumzo na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika  Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "B" katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 30/10/2023.
Baadhi ya Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza nao leo katika viwanja vya  Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "B" leo katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 30/10/2023
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed alipokuwa akimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) kuzungumza na  Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika  Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "B" katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 30/10/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na  Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika  Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "B" leo katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 30/10/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.