Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Mwakilishi  Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwakilishi  Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (wa pili kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (wa pili kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt.Saada Mkuya Salum na katibu Mkuu Dkt.Juma Malik Akil
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mwakilishi  Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo. [Picha na Ikulu.] 27/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwakilishi  Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (wa pili kulia) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt.Saada Mkuya Salum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mgeni wake  Mwakilishi  Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete  baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu.] 27/10/2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.