Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi
wa Itigi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha Lami
kutoka Makongorosi-Rungwa-Noranga-Mkiwa sehemu ya Mkiwa-Itigi-Noranga km 56.9
kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika Itigi Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba,
2023.
Shamrashamra
za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, Itigi Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Sehemu
ya Wananchi wa Itigi na maeneo jirani wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mji huo
Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Sehemu
ya Wananchi wa Itigi na maeneo jirani wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mji huo
Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Wananchi
wa Jimbo la Singida Magharibi katika eneo la Puma wakimsikiliza Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 15 Oktoba, 2023.
No comments:
Post a Comment