Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan ashiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar tarehe 02 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Amiri wa Taifa la Qatar Mhe. Sheikh Tamim Bin Hamad Al-Than wa pili kutoka kushoto kwake pamoja na viongozi wengine wakati wa Wimbo wa Taifa wa Qatar ukiimbwa kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa  Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) uliofanyika Doha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ukumbini kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa  Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar
Shamrashamra za Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo  cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar
Shamrashamra za Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo  cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar
Shamrashamra za Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo  cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.