Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Ajumuika katika Tukio la Upandaji wa Miti FAO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe wakati wa halfa ya upandaji miti katika bustani ya Villa Pamphilj Entrace Largo Martin Luther King, Rome Italia, Oktoba 15, 2023.Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini Italia kumuwakilisha  Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiungana na viongozi wengine wa  Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO)  katika halfa ya upandaji miti katika bustani ya Villa Pamphilj Entrace Largo Martin Luther King, Rome Italia, Oktoba 15, 2023. Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini Italia kumuwakilisha  Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) Dkt. Qu Dongyu wakati wa halfa ya upandaji miti katika bustani ya Villa Pamphilj Entrace Largo Martin Luther King, Rome Italia, Oktoba 15, 2023. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Italia Mahmoud Thabit Kombo. Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini Italia kumuwakilisha  Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.