Habari za Punde

Kampeni ya Uhamasishaji wa kuwarudisha watoto waliotoroka Skuli, Njuguni , Wingi kisiwani Pemba

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Mratib Elimu ya Watu Wazima Wilaya Ya Wete Mwalimu Khamis Ali Makame katika Mkutano wa Kampeni ya Uhamasishaji wa kuwarudisha watoto waliotoroka Skuli katika Shehia ya Mlindo na Njuguni Wingwi Pemba

Afisa Kisomo kutoka Idara ya Elimu Mbadala Na Watu Wazima Pemba Ndugu Haji Juma Haji akizungumza na wananchi waliofika katika mkutano wa kampeni ya Uhamasishaji wa kuwarudisha watoto waliotoroka Skuli huko Shehia ya Mlindo na Njuguni Wingwi Pemba.
Mratib Elimu ya Watu Wazima Wilaya ya Wete Mwalimu Khamis Ali Makame akizungumza na wananchi walitofika katika mkutano wa kampeni ya uhamasiahaji wa kuwarudisha watoto waliotoroka Skuli Katika Shehia ya Mlindo na Njuguni Wingwi Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.